Faamu Kuusu | Digital Platform Account I Dachi Msafi Distribution
Huduma ya Kusambaza Muziki Na kuuza kwenye maduka ya kuuza music duniani (Music Distribution) Dachi Msafi Media β kampuni iliyosajiliwa kisheria inayotoa huduma bora na za kisasa za usambazaji wa muziki kidigitali (Digital Music Distribution) kwa wasanii kutoka Tanzania na Afrika nzima.
Tunasaidia wasanii kufungua akaunti zao za kusambaza nyimbo na kuuza kwenye digital platforms zote maarufu duniani kama:
Audiomack
Boomplay
Shazam
Spotify
YouTube Music
TikTok
Facebook & Instagram Music na nyingine zaidi ya 150 platforms.
π§ Aina Ya Kwanza Ya Kusambaza Music
Hii tuta kufungulia account ambayo itakuwa yako mwenyewe ambayo ita kuwa ni ya kulipia kwa mwaka mmoja utalipia Tsh; 45,000 hii itakuwa na platform zote 150 Pia utalipia Tsh 55,000. kwaaji ya gharama ya mfunguaji wa account ambae ni mimi nitakae kuwa Distribution wako nita ziunganisha platform zote 150 kuwa account moja ambayo ukipost wimbo humo unasamba kwenye patform zote na mapato yata kusanywa na kuletwa kwenye hio account hivyo utaweza kuona mapato ya wimbo yalio kusanya kutoka kwenye platform zote 150 kutokana na watu walio skiliza na ku download pia utaweza kuona idadi ya watu walio skiliza na ku download
OFA KWA ATAKAE LIPIA PACKAGE HII ATAPATA
- π¨ Music Cover 3: Buree
- Coming Soon Poster (kuonyesha tarehe ya kutoka)
- Official Digital Cover (vipimo maalum kwa platforms)
- Out Now Poster (kuonyesha kuwa wimbo umetoka)
πΆ Kupandishwa wimbo kwenye blog yetu: dachimsafi.com ambayo ni jukwaa kubwa kwa muziki africa itakayo pelekea wimbo wako kusambaa mitaani tanzania na nnje ya tanzania na kuongeza mashabiki zaidi
Tuta Kufanyia Verify ya account yako ya youtube na iwe official youtube music artist ili uweze kuwa mmiliki halali wa account hii ita kusaidia kutoibiwa nyimbo zako mana mtu ata akiiba hawezi kupost seemu yeyote akipost unampiga copyright pia ita saidia nyimbo zako kusambaa kwa speed na hupelekea kuingia kwenye trendn za youtube pia husaidia pale mtu mwengine atakapo fungua account youtube na kutunia jina lako itaweza kujulukana account yako official na feki zita julikana
Pia tuta hakikisha email yako inawekwa securty ya kutosha ili kuimalisha usalama wa account yako na mara nyengine ata unapo sahau pasword uweze kuludisha account yako
Pia tuta kupandishia wimbo wako mmoja kwenye digital platform zote bila malipo na kusimamia mpaka wimbo utakapo toka kwenye all digital platform
π§ Aina Ya pili Ya Kusambaza Music
Aina hii ya kusambaza wimbo kwenyee digital platform zote hutumika na watu aina 2 mana haiusishi kufungua account hii hutumikav
- kwa mtu asie kuwa na uwezo wa pesa yote ya kufungua digital platform account basi sisi tuta sambaza wimbo wake kupitia account yangu ambayo nime fungua spesho kwaajili ya kusambaza nyimbo kwa wasanii wasio na account ila kumbuka ukisambaza nyimbo kupitia account yangu kama usipo kuwa na digital platform account basi hauto weza kuingiza mapato yeyote yatakayo patikana kupitia wimbo wako huo faida ni kwamba wimbop wako uta patikana kwenye platform zote kubwa duiani 150 na hii ni mzuri kwa wasanii wanao anza na wana kipato kidogo hii uta lipia Tsh: 20,000 kwa kila wimbo mmoja
- Hutumika kwa mtu ambae tayali anayo digital platform account na hawezi jinsi ya kupost wimbo kwa usahii na ukasamba kwenye platform na kuleta mapato hii pia utalipia Tsh: 20,000 kwa kila wimbo mmoja tuta kusambazia kupitia account yako na mapato ya wimbo yata ingi kwenye account yako
π Faida za Kumfungulia Akaunti Binafsi Msanii:
β Anaweza kupakia nyimbo zake muda wowote. β Anapata mapato moja kwa moja kutoka kwa platforms. β Anaweza kudhibiti takwimu (views, streams, likes, nk). β Anakuwa na uhuru kamili wa kazi zake.
Hasara: Msanii asipokuwa na elimu ya kutosha ya digital platforms, anaweza kupoteza mapato au kushindwa kutumia fursa vizuri. Tunatoa msaada kwa hiyo pia.
π Usalama wa Akaunti:
Tunasaidia msanii kuverify: YouTube Channel (Official Artist Channel) na kuweka Securty
Tunahakikisha umiliki halali wa nyimbo kwa kutumia tools za copyrigh hivyo akuna mtu atakae weza kupost nyimbo zako kwenye digital platform yeyote bila lidhaa yako.
π Kuhusu Dachi Msafi Media:
β Tumesajiliwa kisheria nchini Tanzania kwa kazi ya kusambaza muziki kidigitali. β Makao makuu yapo Dar es Salaam, lakini tunafanya kazi mtandaoni (online) kwa wasanii wote ndani na nje ya Tanzania. β Tunaaminika na tumejenga jina kwa sababu ya:
Uaminifu, Huduma za haraka, Elimu kwa wateja, Ufuatiliaji wa mapato
π Mawasiliano:
βοΈ Simu/WhatsApp: +255 692 900 460
π§ Email: [email protected]
π Website: www.dachimsafi.com
β° Tunatoa msaada masaa 24, changamoto yoyote ya platform zako β tutakusaidia haraka!
Karibu sana Dachi Msafi Media β sehemu salama kwa msanii wa kweli! πΆβ¨