Uncategorized

Digital Platform Management | Dachi Msafi Distibution

🥇 Premium – Tsh 150,000

Huduma zote zifuatazo zinapatikana:

  • Free Upload Track 3 || Kupakia nyimbo 3 bure kwenye digital platform zote
  • Youtube Content ID || (kulinda nyimbo zako kwenye YouTube na kukusanya mapato kutoka youtube)
  • Smart Link || (link moja inayoelekeza kwenye majukwaa mengine yalio pakiwa nyimbo ili kusikiliza)
  • Accoun Security || Usalama wa akaunti tuta kuwekea ulinzi wa account zako
  • Tiktok Artist Song link || Nyimbo zako zita onekana kwenye profile account yako ya tiktok
  • Release Date Promo Art || Cover (3 tofauti) za kutangaza tarehe ya kutoa nyimbo
  • Out Now Promo Art || Cover (3 tofauti) za kuonesha Wimbo umetoka na unapatikana kwenye platform zote
  • Offial Cover Art || Cover (3 tofauti) rasmi za nyimbo ambazo zina kizi vigezo vya kupandisha kwenye digital platform
  • YouTube Channel Banner || Cover ambayo inawekwa kwenye youtube channel yako nyuma ya profile picture
  • Artist Profile Picture || Picha ya profile ya msanii
  • YouTube Channel Verifyd || Kuthibitisha channel ya YouTube kuwa offial account ya msanii wa music inakuwa na alama ya music
  • Boomplay Verifyd || Kuthibitisha Account ya Boomplay kuwa offial account yako yenye alama ya tick
  • Spotify Verifyd || Kuthibitisha Account ya Spotify kuwa offial account yako yenye alama ya tick
  • Apple Music Verifyd || Kuthibitisha Account ya Apple Music kuwa offial account yako yenye alama ya tick
  • Deezer Verifyd || Kuthibitisha Account ya Deezer kuwa offial account yako yenye alama ya tick
  • Promote Track 3 || Tunapandisha nyimbo zako 3 kwenye website yetu ya dachimsafi.com ili nyimbo zako pia zisambae mitaani

🥈 Standard – Tsh 110,000

Huduma zote zifuatazo zinapatikana:

  • Free Upload Track 3 || Kupakia nyimbo 3 bure kwenye digital platform zote
  • Youtube Content ID || (kulinda nyimbo zako kwenye YouTube na kukusanya mapato kutoka youtube)
  • Smart Link || (link moja inayoelekeza kwenye majukwaa mengine yalio pakiwa nyimbo ili kusikiliza)
  • Accoun Security || Usalama wa akaunti tuta kuwekea ulinzi wa account zako
  • Release Date Promo Art || Cover (3 tofauti) za kutangaza tarehe ya kutoka nyimbo
  • Out Now Promo Art || Cover (3 tofauti) za kuonesha Wimbo umetoka na unapatikana kwenye platform zote
  • Offial Cover Art || Cover (3 tofauti) rasmi za nyimbo ambazo zina kizi vigezo vya kupandisha kwenye digital platform
  • YouTube Channel Banner || Cover ambayo inawekwa kwenye youtube channel yako nyuma ya profile picture
  • Artist Profile Picture || Picha ya profile ya msanii
  • YouTube Channel Verifyd || Kuthibitisha channel ya YouTube kuwa offial account ya msanii wa music

🥉 Basic – Tsh 80,000

Huduma zote zifuatazo zinapatikana:

  • Free Uupoad Track 3 || Kupakia nyimbo 1 bure kwenye digital platform zote
  • Youtube Content ID || (kulinda nyimbo zako kwenye YouTube na kukusanya mapato kutoka youtube)
  • Smart Link || (link moja inayoelekeza kwenye majukwaa mengine yalio pakiwa nyimbo kusikiliza)
  • Release Date Promo Art || Cover (1) ya kutangaza tarehe ya kutoka nyimbo
  • Out Now Promo Art || Cover (1) ya kuonesha Wimbo umetoka na unapatikana kwenye digital platform zote
  • Offial Cover Art || Cover (3) rasmi ya nyimbo ambayo inakizi vigezo vya kupandisha kwenye digital platform

Wasiliana Nasi
Phone: +255 692 900 460
Emai: [email protected]